Baada ya kushiriki katika misheni nyingi na kufanikiwa katika mazingira yaliyoonekana ni magumu, Dom Toretto na familia yake waliwazidi uwezo wahalifu na kumfukuza kila adui waliyekutana naye. Sasa, lazima wakabiliane na adui mbaya zaidi kuliko wale ambao waliwahi kutana nao. Adui huyu anakuja na adhima ya kulipa kisasi, adui huyu anakuja kutoka katika historia zao za zamani, adui huyu ana lengo moja, kusambaratisha ulimwengu wa Dom na kuharibu kila kitu na kila mtu anayempenda.
Tarehe ya kuachiliwa: May 19, 2023 (USA)
Mwongozaji: Louis Leterrier
Bajeti ya filamu: 340 million USD
Cinematography: Stephen F. Windon
Wasambaji: Universal Pictures
Wahariri: Kelly Matsumoto, Christopher Rouse, Dylan Highsmith
Wahusika: Vin Diesel as Dominic Toretto, Jason Momoa as Villain, Alan Ritchson as Agent Aimes, as
, Michelle Rodriguez as Letty Ortiz
, Tyrese Gibson as Roman Pearce, Charlize Theron as Cipher, Jordana Brewster as Mia Toretto, Scott Eastwood as Little Nobody, John Cena as Jakob Toretto, Ludacris as
, Cardi B, Helen Mirren as Queenie and Leo Abelo Perry as Brian Marcos
0 Comments