Jua jinsi ya Kutatua tatizo la Simu kustack



Pengine unajiuliza maswali mengi na wakati mwingine unajikuta unakwazika kwasababu simu yako inakukosesha raha kwa kustack. Nataka nikwambie kuwa tatizo la simu Kustack linasababishwa na vitu vingi lakini kubwa ni uwezo mdogo wa RAM.

Sasa unawezaje kutatua tatizo hilo la kustack? Sikiliza kupitia Audio hii hapa chini;



Post a Comment

0 Comments