![]() |
E-BOOK COVER |
Katika maisha huwa tunafanya makisa na mara nyingi tunapofanya akosa hayo huwa tunasahau kabisa kama tumewahi kufanya makosa katika maisha yetu. Tunawewza kufanya makosa hayo kwa kujua au kwa kutokujua na mara nyingi huwa tunajua kama tunafanya makosa lakini tunapuuzia na kuona hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Tunatakiwa kukumbuka kila kosa unalofanya usipolisahihisha mapema basi gharama ya kusahihisha huwa ni kubwa, utasahihisha kwa maumivu makubwa na machozi mengi sana. Fuatilia hadithi hii ya CHUKIZO kuona namna kijana Leonard alivyolipa gharama ya makosa yake.
Jipatie Hadithi hii nzuri ya CHUKIZO kwa bei nafuu kabisa ya shilingi 4,656 tu za kitanzania sawa na dollar 1.99.
Unaweza kununua hadithi hii kwenye Maduka haya;
AU
Unaweza kulipia kupitia
LIPA NAMBA ya VODACOM: 5359703
JINA: GEOFREY DISMAS MFIKWA
Kisha tuma risiti yako pamoja na caption CHUKIZO kwa njia ya WhatsApp: 0768465103
0 Comments